Mh.Rais Kikwete ametokea kutaja tena jina la Diamond Platnumz, akiongelea mengi waliofanya kipindi walipokutana na mkali huo wa AfroPop, Diamond Platnumz, akiwa anafunguka wakati alipokuwa anaongea na wasanii kule jijini Dodoma, jambo la kushangaza zaidi ambalo kila mtu hakuweza kuamini ni pale Mh. Rais alipokuwa anataja wasanii wakubwa mbali mbali akiwemo, Ludacris,Trey Sings, Lil Wayne, Usher Raymond na wengine wengi tena pamoja na mameneja wao.
Mh.Raisi alizidi kufunguka kwa jinsi Diamond Platnumz alivyomfurahisha katika uwakilishi wake wa tuzo za Mtv “Nilikutana na Diamond Nje ya nchi, nikamkaribisha lunch akaniambia amekuwa nominated kwenye tuzo za MAMA na za BET, nimeangalia MAMA, Diamond hakushinda ila aliperform vizuri sana na watu wakamfurahia sana”- alifunguka Mh.Rais. Nadhani hakutakuwa kutokea na Rais kama huyu mwenye kujua mambo mengi kuhusu sanaa, ni rais wa kipekee ambaye anafaa hata kuwa meneja wa wasanii.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

