MBUNGE wa Jimbo la Arumeru Mashariki ,Mh Joshua Nassari kesho
anatarajia kufunga ndoa na Bi Anande Nko katika kanisa la Pentekoste,
Kilinga lililoko wilaya ya Meru ambako Mh Nassari alianzia masuala ya
Kiimani ikifuatiwa na Sherehe kubwa ya Harusi itakayo fanyika katika
viwanja vya Usa-River Academy jirani na Hotel ya Ngurdoto.
Kwa Mujibu wa Mh Nassari ,sherehe hizo zitakazoanza majira ya saa
saba mchana watu wote wamealikwa wakiwemo ndugu, marafiki, Jamaa na
wananchi jimbo la Arumeru Mashariki kwenye tukio hilo na kwamba hakuna
kadi.“Nichukue tena fursa hii kuwakaribisha ndg, marafiki, Jamaa na zaidi sana wananchi wangu wa jimbo la Arumeru Mashariki kwenye tendo hadhimu la kusherekea harusi yangu , Jumamosi Juni 7, Usa-River academy grounds kuanzia saa saba mchana. Kwa Pamoja Tulianza na Mungu, Tutamaliza na Mungu Pamoja. …No cards on entrance!” alisema Nassari.
Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua Nassari akimwimbia mchumba wake Bi Anande Nnko wakati wa sherehe ya Send off iliyofanyika nyumbani kwao na Bi Harusi Mtarajiwa ,Meru.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >