Habari Kali
Loading...

MAKUBWA HAYA: BI HARUSI AAMGUA KILIO MBELE YA MBUNGE BAADA YA WACHEZA SHOO KUFANYA LAANA UKUMBINI

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
AMA kweli dunia uwanja wa fujo! Biharusi mtarajiwa mjini hapa, Sofia Majid amejikuta akiangua kilio baada ya kundi la wasichana watatu la jijini Dar es Salaam almaarufu Welawela kumwaga radhi kwenye sherehe ya ‘kitchen party’ yake.
Tukio hilo lililoshuhudiwa na The Biggest IQ,  lilijiri kwenye Ukumbi
wa Nashera mjini hapa hivi karibuni mbele ya Mbunge wa Viti Maalum Vijana CCM, Mkoa wa Arusha Mhe. Catherine Magige.
Welawela, wakiwa na mwimbaji wa taarabu aliyealikwa kutumbuiza,
Afua Suleiman walipopewa nafasi ya kutumbuiza na ‘emsii’ wa shughuli hiyo, Hawa Chamng’anda walivamia kitanda cha zawadi cha biharusi na kuanza kucheza Makhirikhiri kwa kugaragazana kwa staili ya tendo la ndoa na kukiacha kitanda hicho kikiwa hakitamaniki kwa kukifinyanga.

Kitendo hicho, pamoja na burudani waliyoitoa vilimfanya biharusi kushindwa kujizuia na kuangua kilio kweupe.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top