Hatimaye
mwanadada Jacqueline Wolper ameamua kuweka wazi kilichotokea mpaka
kuamua kubadili Dini yake ya Uislamu na kurudi kwenye ukristo tena.
Kupitia ukurasa wake wa mtandao mmoja wa kijamii mwanadada huyu wa bongo movies ametoa ujumbe ufuatao kwa mashabiki wake.“…mambo
mashabiki zangu.sikua na njia nyingne yakulikwepa hili nanaamini kua
kwa wale mashabk zangu waislam amtomaind maana akuna mtu wakumsikiliza
chin ya hanga zaidi yawazazi so imenipasa kurudi kanisani kwakauli
yawazazi wangu.naamin
kama aujaolewa ata uwe na miaka mingap bado unatakiwa kua chin ya
imaya ya wazazi ata ukifa ujue unazikwaje na mimi ni binadam sijui saa
wala dakika.muhm nikuwajuza nakuwaelewesha mashabk zangu stak maswal
nawapenda wote…”
Hapo
awali iliripotiwa kuwa mwanadada huyu ameamua kuwa mkristo tena baada
ya penzi lake lililosababisha abadili dini na kuwa muislamu na jamaa
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

