Habari Kali
Loading...

Diamond Kaniponza Jamani...!!

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Jana bwana nilikua na shemeji yenu tumekaaa mahali tunaangalia world cup ile mechi ya saa nne basi bwana nikahisi kuanza kuboreka nikachukua headfon nikawa nasikiliza mziki yeye akiwa busy na mpira,

Na yeye akahisi mimi kuboreka akachukua headfon na yeye asikilize kile nichokua nackiliza ,wakati anachukua ulikua wimbo mpya wa Diamond unapigwa,


Basi bwana mara tukaanza kuongea mambo ya wanamuziki,nikawa namsifia Diamond bwana kwamba bwana mdogo anajitahidi ameanzia mbali ila he is somewhere now anajuhudi kwenye mziki yeye akawa anamponda .

kweli sijui hajui kuimba sijui mshamba sisi akataka na mimi ni msupport,alivyoona nampa fact eeeee niliamsha hasira za kipare ,

Ananiambia kama unampenda huyo Diamond si akakuoe sasa umefuata nini kwangu,

kiukweli sijui mambo ya Damond kunioa yalifikaje,aliongea sheet nyingi kwakweli,yaani mpaka sahizi kanuna hata sms ya morning sijapata na si kawaida yake yaani,

Hebu niambie wakaka hiiii inakuaje maaana simwelewi kwakweli,

Na anajua mimi na celebrity sio kivile sina hata access nao kwamba nitaweza hata kua karibu nao ,atakua amepatwa na nini huyu mwanaume?

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top