Pamoja
na kuanza kwa kishindo safari yake ya kuelekea Afrika Kusini ‘Sauz’
kwa ajili ya fainali za kuwania Tuzo za MTV Africa (MAMA), mwanamuziki
Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na baby wake, Wema Isaac Sepetu
wamechafua hali ya hewa, Ijumaa Wikienda lilikuwa linarandaranda ndani
ya nyumba.
Pamoja
na kufanya makamuzi ya kufa mtu kwenye shoo ya kuwatambulisha wasanii
wanaowania tuzo hizo kwenye Ukumbi wa Bilicanas uliopo Posta, Dar,
Diamond hakumpandisha Wema stejini kama kawaida yake, jambo lililozua
kizaazaa.
Kuna muda mashabiki wake walipiga kelele wakimtaka Wema apande stejini lakini hakufanya hivyo.
Awali Diamond alipanda stejini mishale ya saa 8:00 akipishwa na msanii kutoka Sauz, Jigger ambaye alikuwepo kwa ajili ya kutoa sapoti kwa Mbongo Fleva huyo.
Msauz huyo alifanya shoo ya dakika 20 kisha akampisha Diamond ambaye aliingia na Kibao cha Uswazi Take Away Remix, ambacho ndani yake amemfagilia Halima Haroun ‘Kimwana’ ambaye ni hasimu wa mpenzi wake, Wema.
Baada ya kumaliza wimbo huo ndipo baadhi ya mashabiki wakasikika wakimwambia Diamond ampandishe Wema la sivyo watakinukisha.

Wakati Diamond akiendelea kufanya makamuzi yake hayo, Wema na Halima Kimwana wote walikuwepo ukumbini hapo na kwa bahati nzuri kama si mbaya walijikuta wote wakimshangilia Diamond, tena wakiwa VIP ya juu ambapo walikuwa wakiingia watu maalum.
Mwanahabari wetu aliwashuhudia wawili hao walipogeukiana kila mmoja alionekana kumwekea mwenzake uso wa mbuzi.
Hali hiyo ilidumu hadi Diamond alipomaliza shoo yake na Wema kushuka na kumuacha Halima Kimwana.
Baada ya shughuli za shoo Diamond alibaki na Halima Kimwana wakicheza disco.
Kufuatia hali hiyo kwenye mitandao ya kijamii usiku huohuo, kuliibuka maneno mengi kutoka kila upande kuwa shoo ya Diamond ilichafuliwa na Wema na Halima Kimwana ambaye alidaiwa alijipanga kwenda kumfanyia fujo Wema kwa kuwa yupo upande wa Penniel Mungilwa ‘Penny’.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >