Mwaka huu unaonekana kuwa mwaka wa mafanikio zaidi kwa Diamond PlatinumZ ambaye anazidi kuongeza ukubwa wa CV yake katika muziki kwa kupanda ngazi na majukwaa ya kimataifa.
Mshindi huyo wa tuzo saba za KTMA2014 ametajwa jana (May 14) kuwania
tuzo kubwa duniani zinazotolewa na Black Entertainment Television (BET
Awards 2014) katika kipengele cha Best International Act Africa huku
wimbo wake wa My Number One ukiwa umemuwezesha zaidi.
“BEST INTERNATIONAL ACT: AFRICA; NUMBER ONE; (TANZANIA) TANZANIAN
STAR DIAMOND PLATNUMZ BECAME A GLOBAL FORCE WITH SUCCESS OF HIS HIT ;
NUMBER ONE; AND THAT WAVE MAY CONTINUE WITH A WIN FOR BEST INTERNATIONAL
ACT: AFRICA.” Waliandika BET kwenye Twitter.
Diamond anashindania tuzo hiyo na Davido, Mafikizolo, Sarkodie, TiwaSavage na Toofan.
Baada ya uteuzi huo,Jestina George alibahatika kuwa mtu wa kwanza kumhoji Diaomd kuhusiana na uteuzi huo.....
Bonyeza video hapo chini kusikiliza mahojiano hayo
Baada ya uteuzi huo,Jestina George alibahatika kuwa mtu wa kwanza kumhoji Diaomd kuhusiana na uteuzi huo.....
Bonyeza video hapo chini kusikiliza mahojiano hayo
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >


