Mchakato wa kumnasa kiungo huyo mwenye miaka 24 ulianzishwa na kocha aliyetimuliwa baada ya kuboronga, David Moyes na sasa umepewa baraka na kocha mpya Louis van Gaal.
Timu hiyo kwa sasa inajipanga kumnasa mshambulaji hatari wa Bayern Munich na timu ya Taifa ya Uholanzi, Arjen Robben.
Mashetani hao Wekundu tayari wamekubaliana kiasi cha pauni milioni 27 na beki wa kushoto wa Southampton, Luke Shaw.
Mbali na Robben, Gaal pia anamuwinda beki wa kati wa Borussia Dortmund, Mats Hummels.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

