MAJANGA! Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ na muigizaji Adam Haji ‘Baba Haji’ nusura wazichape baada ya kupishana kauli.
Mwenyekiti wa Bongo Muvi, ‘Steve Nyerere’ (aliyeshika chupa ya maji) akilia kwa uchungu katika msiba wa Recho.
‘Uwanja wa vita’ ulikuwa ni kwenye msiba wa mwigizaji mwenzao Sheila Haule ‘Recho’, Sinza-Palestina, jijini Dar ambapo chanzo kilishuhudia mtiti huo, kilidai tatizo liliibuka mara baada ya Steve Nyerere kumchimba mkwara Baba Haji asijiweke karibu na Jacob Steven ‘JB’.
Muigizaji mkongwe wa Bongo Muvi, Adam Haji ‘Baba Haji’ (kushoto) akishiriki kubeba jeneza lenye mwili wa marehemu Recho.
“Hata haikujulikana kwa nini Steve hakutaka Baba Haji awe karibu na JB, akammaindi ndipo mtiti ulipoibuka, wakataka kushikana mashati bahati nzuri Mtitu (William) akawaamua,” kilieleza chanzo.
Akizungumzia sakata hilo baada ya kutulizwa ‘munkari’, Baba Haji alisema anamshangaa Steve kwa kumchimba mkwara asikae na JB pasipo kuwa na sababu za msingi.
Akizungumzia sakata hilo baada ya kutulizwa ‘munkari’, Baba Haji alisema anamshangaa Steve kwa kumchimba mkwara asikae na JB pasipo kuwa na sababu za msingi.
“Sijui jamaa vipi, au ananionea wivu, nashindwa kumuelewa,” alisema Baba Haji huku Steve akichomoa kuzungumza lolote.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

