Habari Kali
Loading...

Shaa,mkali wa “Sugua Gaga ” afunguka kuhusu siri ya Uzuri wake na mambo mengine kibao….

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ni mmoja kati ya wasanii wa kike wanaofanya poa sana katika music industry hapa Tanzania na kupelekea kupata fans wengi kila kukicha, hapa anatuelezea style
1.Unaweza  ukatuelezea  kuhusu  style  zako?
Napenda  kujiweka  simple katika mwili wangu bila kuwa na vikorokoro kibao may be utanikuta na miwani, saa na hereni na kama ni nguo napenda kuvaa different styles it depend na wapi ninapoenda.
shaa
2. Unanunulia  wapi   pamba  zako?
Huwa nanunua katika maduka tofauti kama Kinondoni, Msasani, Mlimani City and other nanunua online.
3. Fashion ipi ya mavazi huwezi kukutwa umeivaa?
Ku-copy fashion ya mtu hata kama ni mpya huwa sipendi.
4. Muonekano gani wa mavazi unautamani kuujaribu?
Natamani sana kujaribu muuonekano wa gosick fashion mara nyingi wanavaa sana Rock stars wa Marekani utamkuta kavaa full black from top to bottom.
5. Celeb gani wa ki-Bongo wanakuvutia kwa mavazi yao?
Actually Madam Rita na Nancy Sumari all the time navutiwa sana ninapowaona kutokana na uvaaji wao.
shaa2
6. Una pair ngapi za viatu?
I have many pair of shoes, am so crazy man and sometime huwa navigawa kwa ndugu zangu coz siwezi kukaa na kitu bila kukivaa.
7. Uzuri wako unatokana na nini?
Ni kujiweka naturally bila kujirundika make up, so napenda sana kuwa simple coz is the best to me.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top