Habari Kali
Loading...

PICHA ZA MKE WA MASTER JAY NA STORI KAMILI :HUYU NDIYE MSANII KSTYLE AMBAYE ANADAIWA KUMTAFUNA KIMAPENZI MKE WA MASTER JAY

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Wakati tetesi mtaani zinadai Producer mkongwe Master Jay ana mpango wa kuandaa mkutano wa waandishi wa habari ili kumtambulisha Mwanadada Shaa kama mchumba wake, ikiwa ni ya baada ya MJ kushawishiwa na mama yake mzazi ambaye anafahamu mahusiano ya wawili hao kwa karibu miaka 10 au zaidi, sasa Gazeti la makorokocho limetonywa juu ya Serengeti boy aliyemrithi MJ kwa Wife wake Rose
Shaa na Master Jay
 
                                 Rose Marry

Kwanza kabla sijakuambia kuhusu Serengeti boy K Style, ngoja nikuambie situation iliyopo kati ya Master Jay, RoseMarry (Wife wake MJ waliyefunga ndoa ya kanisa) na Shaa, zaidi ya miaka 10 iliyopita Mj na RoseMarry mahusiano yao yalianza kulega lakini kutokana na ndoa ya Kanisani haivunjiki kirahisi ikabidi watengane nyumba,  Mj akaanzisha mahusiano na msanii Shaa, Mj akahamia katika nyumba yake nyingine Mbezi pamoja na Shaa na kumwacha bibie Rose pamoja na watoto wao watatu waishi Masaki pale ambapo zipo studio za MJ Records ambapo wanaishi mpaka leo na ndoa hiyo imeshindikana kuvunjika na hawashirikiani kinyumba, back to the point Serengeti boy wa Rose Marry namwita serengeti boy kwasababu umri wake ni mdogo, ingawa wataalamu wa mambo wanasema age is nothing but a number, sasa inasemekana eti Mrithi wa Mj ni msanii wa Bongo Flava mwenye swagg nyingi anapo Rap na ni mshindi wa shindano la Serengeti Fiesta 2013 KStyle na wao wanampango wa kujitangaza rasmi, Nilipomuliza Master Jay kuhusu msanii huyo kumrithi akanijibu "ni vyema unajua tena binadamu tunatakiwa kuwa wawili wawili" 
 
Huyu ndo Mrithi wa Mj Rapper K Style

Picha zaidi za huyu jamaa mcheki FB >>K-Style K-twista<< 

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top