Habari Kali
Loading...

"NAPENDA SANA WATOTO, MUNGU AKINIJALIA NITAZAA HATA KIJIJI KIZIMA"....SAJENT

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
KIMWANA Manywele 2011, Husna Maulid ‘Sajent’ amesema kuwa anapenda watoto hivyo yupo radhi kuzaa watoto wengi kupita maelezo hata kijiji kizima.
Kimwana Manywele 2011, Husna Maulid ‘Sajent’.
Kimwana Manywele 2011, Husna Maulid ‘Sajent’.

Sajent alifunguka hayo baada ya kuulizwa na safu hii kama ana mpango wa kuzaa tena tofauti na mtoto aliyezaa na Prezidaa wa Mashujaa Music Band, Charles Baba ‘Chaz Baba’.
“Nitazaa hata kijiji kizima, mwenzenu nawapenda sana watoto, hivyo Mungu akinijalia nitazaa wengi,” alisema Sajent.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top