Msanii maarufu wa Kenya, Nyota Ndogo amejikuta
akimwaga machozi kutokana na aibu aliyoipata baada ya kundi
kubwa la watu kumshuhudia akiwa uchi wa mnyama huku akijipaka
mafuta pasi yeye kujua…..
Nyota Ndogo alikumbwa na dhahama hiyo alipokuwa aki perform katika show moja nchini Kenya hivi karibuni.
Kwa
mujibu wa maelezo ya msanii huyo aliyoyatoa katika ukurasa
wake wa facebook ni kuwa, akiwa katika Show hiyo, mwenyeji wake
alimpatia chumba kwa ajili ya kubadili nguo, akaingia na kuvua
nguo zote na kisha kuanza kujipamba. Amekuja kustuka kuwa
anachunguliwa na watu baada ya kusogolea kioo kilichokuwa ndani
ya chumba hicho ambapo aliwaona watu hao wakimwangalia….
“Yani nimekwenda show.nikapewa chumba chakubadili nguo.nimevua nguo zote najipaka mafuta pole pole kumbe najiangalia kwa kioo kumbe upande wapili naoneka kila kitu.yani nimekosa amani…aibu nilio iona mungu ndio anajua.sijui wamechukua video..haya ngoja tusubiri,” amendika kwa uchungu msanii huyo
Msanii huyo amemtwisha zigo la lawama mwenyeji wake aliyempatia chumba hicho ili hali akijua kinaonekana kwa nje
“Hapana nilibakisha cha ndani na nyonyo ilikua na nguo pia.kitu sielewi ni alienipeleka kubadili nguo ina maana hakujua nje naonekana?maana aliambia kioo hiki jiangalie mpaka miguu.”Ameandika Nyota Ndogo na kuongeza
“Kuajulisha tu ili kama walichukua video mukiiona mujue niliwataarifu“
Aidha, Nyota Ndogo aliutumia pia ukurasa huo kuwasihi watu hao wasitoe picha zake za uchi au video kama walirekodi ili kumtunzia heshima mbele ya watoto wake
“Wafikirie wanangu,” Ameandika msanii huyo.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

