Msanii
wa maigizo Salama Jabu maarafu kama Nisha amefunguka na kueleza sababu
kubwa iliyomfanya kusitisha penzi lake na mwanabongo flava Nay wa
Mitego. Akiongea Nisha alisema..
" Unajua Nay ndiye mwanaume pekee aliyefanikiwa kuuteka mtima wangu hadi leo hii sipata mwanaume anaejua mapenzi kama yeye lakini sasa nilikuwa napata shida sana kwake" Alisema Nisha Msanii huyo aliendelea kusema kuwa
" Unajua Nay ndiye mwanaume pekee aliyefanikiwa kuuteka mtima wangu hadi leo hii sipata mwanaume anaejua mapenzi kama yeye lakini sasa nilikuwa napata shida sana kwake" Alisema Nisha Msanii huyo aliendelea kusema kuwa
" Unajua Nay kwenye maapenzi ni balaa anajua sana yani sikuamini kama ningekuja kuachana nae lakini kutokana na mazingira ya yule mtu sikuwa na jinsi nikaamua kumpigia chini" Alisema Hata hivyo Nisha alizitaja sababu kubwa zilizopelekea kuchukua uamuzi huo ni pamoja na ukorofi wa mwanamuziki huyo pamoja na matusi matusi ndiyo maana alichukua maamuzi hayo magumu.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

