Habari Kali
Loading...

MMILIKI WA MANCHESTER UNITED AFARIKI DUNIA!

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== > MMILIKI wa timu ya Manchester United, Malcolm Glazer, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85. Amefariki akiwa nyumbani kwake Marekani.
Glazer aliinunua klabu hiyo mwaka 2005 kwa pauni milioni 790 sawa na shilingi trioni 2.2 na akashuhudia timu hiyo ikipata mafanikio kadhaa ikiwemo kutwaa Kombe la Klabu Bingwa Ulaya na ya Ligi Kuu ya England.
Malcolm Glazer aliyefariki akiwa na miaka 85.
Malcolm Glazer aliyefariki akiwa na miaka 85.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top