MKALI wa
vichekesho Bongo, Haji Salum ‘Mboto’ ameibuka na kusema kuwa endapo
atafariki dunia mwili wake ukaagiwe katika Viwanja vya TCC Chang’ombe na
siyo Leaders kama ambavyo imekuwa ikifanyika kwa wasanii wengi
wanapokufa.
Akizungumza
na paparazi wetu kwenye Viwanja vya Leaders wakati wa msiba wa msanii
mwenzake, achel Haule ‘Recho’, Mboto alisema tayari ameshaacha wosia kwa
marafiki zake kwamba siku akifariki dunia mwili wake uagiwe TCC kwani
yeye nyumbani kwao ni Temeke na ndugu zake wengi wapo huko na endapo
wosia huo utakiukwa jeneza lake litagoma kubebeka.
“Mimi nimeshawaambia marafiki zangu kwamba siku nikifa mwili wangu uagiwe TCC Chang’ombe kwa sababu ndiyo nyumbani kwetu, naomba wale niliowaambia walizingatie hilo wakiona linakiukwa wagome na jeneza langu ligome kubebeka,” alisema Mboto.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

