Habari Kali
Loading...

MASTAA WA BONGO MOVIE WAONESHANA JEURI YA FEDHA...SOMA ZAIDI

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Mastaa wanaowakilisha Klabu ya Bongo Movie Unity na Shirikisho la Filamu Nchini (TAFF) wameonesha jeuri ya fedha kwa kuwatunza maharusi, mwigizaji Vanita Omary na mumewe Paul Mtenda.
Mastaa wa Bongo Movies wakionyesha jeuri ya fedha katika harusi ya msanii Vanita Omary na mumewe Paul Mtenda.
 Sherehe hiyo ilifanyika Jumamosi iliyopita katika Ukumbi wa Mwika, Sinza jijini Dar ambapo pamoja na zawadi nyingine, maharusi hao waliondoka na shilingi millioni tatu, fedha taslimu.
 Mpango mzima wa kuwamwaga ‘minoti’ uliongozwa na muigizaji Yobnesh Yusuf ‘Batuli’, Mwenyekiti wa Bongo Movie, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’, Jacob Steven ‘JB’, Kulwa Kikumba ‘Dude’ na wengineo ambapo mwishoni hesabu ya jumla ilitimia shilingi milioni tatu.
Mwenyekiti wa Bongo Movies, Steve Nyerere akisherehesha katika harusi hiyo.
 Kwenye sherehe hiyo, hawakuonesha utengano, hawakujali kama ni memba wa Bongo Movie au Shirikisho la Filamu Nchini (TAFF) lililowakilishwa na rais wake, Simon Mwakifamba ambaye muda wote alionekana mwenye furaha.
Paul Mtenda akiwa na 'mai waifu wake' Vanitha.
 Mbali na Steve Nyerere, JB, Batuli na Dude, mastaa wengine waliohudhuria sherehe hiyo ni pamoja na Issa Mussa ’Cloud 112’, Elizabeth Michael ‘Lulu’, William Mtitu, Single Mtambalike ‘Rich’, Yvonney Cherry ‘Monalisa’, Suzan Lewis ‘Natasha’ na wengine wengi.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top