Rais wa Manzese Madee kwa sasa inasemekena ana uhusiano wa kimapenzi na mmoja kati ya wakina dada wanaotokea kiwanda cha filamu Tanzania Bongo Movie Jini Kabula,Soudy Brown kaongea na Madee ambapo hiki ndicho
alichokizungumza Madee baada ya swali hilo. Madee>>’Mimi
bado sitoki mtu,nikiwa tayri nitawaambia mbona mwanzi nilipokuwa
natoka na Yule wa mwanzo niliwaambia kwa hiyo ikiwa tayari
nitawaambia,huyo kabula mi mshkaji wangu kuna kazi tunafanya itakuja
mtaona.Soudy Brown alipomuuliza kuwa mbona mtaani wanaonekana sana wakiwa pamoja kama madukani,kuogelea na sehemu tofauti Madee amejibu >>’Hakuna kitu kama hicho.
88.4 Clouds Fm inasikika ukiwa Mtwara.
Bonyeza play kusikiliza.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

