Kwa
muda mrefu sana mmea wa mti wa Mvunge umekuwa ukitumika
katika jamii nyingi za Kiafrika kama tiba asilia ya kuongeza
ukubwa wa maumbile ya kiume.

Hata
hivyo pamoja na kuwa na uwezo wa kuongeza ukubwa wa maumbile
ya kiume, utafiti wa hivi karibuni umeweza kuthibitisha pasi
na shaka yoyote uwezo wa mti wa mvunge katika kuongeza ukubwa
wa makalio.
Mbali
na kuwa na uwezo wa kuongeza ukubwa wa makalio, mti wa
mvunge umethibitika kuwa na uwezo wa kuongeza ukubwa wa matiti
pia.

Gazeti la Mwananchi tolea la Januari 26, 2013 linamnukuu Kaimu Msajili wa Tiba Asili na Tiba Mbadala nchini, Dokta Naomi Mpemba akitoa maelezo yanayo thibitisha juu ya uwezo wa mmea wa mti wa Mvunge katika kuongeza ukubwa wa makalio.
JINSI MTI WA MVUNGE UNAVYO TUMIKA.
Mti wa Mvunge unatumika kwa mhusika kuchanjwa katika sehemu za makalio na kisha sehemu zilizo chanjwa kupakwa utomvu wa mmea huo.
Baada ya kuchanjwa na kupakwa dawa katika sehemu husika, mhusika atatakiwa kuwa anajipaka utomvu wa dawa hiyo ya Mvunge katika sehemu iliyo chanjwa pamoja na sehemu nyingine za kwenye makalio mara mbili kwa siku kwa muda wa siku thelathini.
UFANISI WA MMEA WA MTI WA MVUNGE.
Kwa mujibu wa shuhuda za watu mbalimbali walio tumia tiba ya mmea wa mti wa Mvunge katika kuongeza ukubwa wa makalio yao, ufanisi wa mmea huu ni mkubwa kwa asilimia mia moja!
JINSI UNAVYO FANYA KAZI.
Mti wa Mvunge umethibitika kuwa na virutubisho vinavyo saidia kuchochea homoni zinazo husika kuchochea ukuaji wa maumbile.
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >


