Wasanii wasioishiwa vituko Tanzania, Miss Ruvuma 2005 Isabela Mpanda na Luteni Karama wameonekana katika viwanja mbalimbali vya burudani wakipeana mahaba momoto na kudai kuwa wanawakomesha waliotia doa mapenzi yao na kusababisha yasambaratike....
Isabela
na Karama ambao waligombana na kutengana kabisa kwa madai
kuwa Karama siyo mwaminifu katika mapenzi yao walifikia hatua
mbaya ya kurushiana matusi lakini sasa hivi wamerudiana na
kuwaacha midomo wazi waliokuwa wakishabikia ugomvi wao.....
"Sina
la kuongea kabisa, nilikuwa sina raha kabisa maishani mwangu,
nilikuwa natumiwa meseji za ajabu lakini niliomba Mungu hatimaye
Karama amerudi katika himaya hii, hapana chezea Bella" Alisema Isabella
Aliongeza
kwa kusema kuwa yeye kama Bella ameamua kutulia na Karama
kwa sababu ameona michepuko siyo dili na inaweza kumharibia
maisha yake na watoto....
Hata
hivyo baadhi ya marafiki wa Bella wamedai kuwa hivi sasa
Karama amefika kwa Bella kwani haendi katika mishemishe zake za
kila siku kwa madai kwamba anamtuliza mpenzi wake aliyekuwa
na ugomvi naye
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >



