Habari Kali
Loading...

Irene Uwoya atoka Kimapenzi na Dancer wa THT…Inadaiwa kuwa Uwoya ndiye aliyemtongoza….!!

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
UWOYA
Habari mpya ni kuwa star wa filamu nchini Irene Uwoya yupo kwenye penzi zito na mwalimu wa kucheza toka Tanzania House Of Talent(THT) anayeitwa Msami.
 
Kwa mujibu wa mpenzi wa Msami anayeitwa Rehema akihojiwa katika U Heard na Soudy Brown alisema kuwa Uwoya ndiye aliyemtongoza Msami licha ya kufahamu kuwa tayari ana mpenzi mwingine(yeye Rehema). 
UWOYA1
Rehema amesema kuwa Uwoya licha ya kumtongoza Msami pia anamhonga sana pesa ndiyo maana Msami akajawa na tamaa na kumkubali kwakuwa bado yeye ana-hustle kimaisha. 
 
Rehema alisema , “Ni tamaa tu za vijana, si unajua tena ukiwa bado hujatoka, wanashawishika na tamaa ya hela ili apate kutoka na ajulikane”
 Rehema ( Kulia )
Rehema ( Kulia )
 Rehema ( Kulia )

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top