Mkazi wa Mtaa wa Azimio, Kata ya Kiwanja cha Ndege, Manispaa ya Morogoro,
Mariam Said ( kati kati) akizindikizwa kwenda Kituo Kikuu cha Polisi na
Askari Polisi wa kike ,juzi ( Mei 20) baada ya kutoa maelezo kwa Ofisa
Ustawi wa Jamii Mkoa wa Morogoro, Oswin Ngungamtitu ( hayupo pichani)
kutokana na madai ya kufanya vitendo vya ufanyasaji na ukatili mtoto wa
mdogo wake baada ya kufariki dunia, kwa kulea mtoto, huyo wa kike mwenye
umri wa miaka ninne ambapo yenye na mumewe , Mtonga Omary ,( hayupo
pichani) walipoamua kumfungia chumbani na kwenye boski kwa muda miaka
yote hiyo.
Askari Polisi wa Kike ( kushoto) ambaye jina lake hakikuweza kufahamika
mara moja akimwesha juisi ,mtoto wa kike mwenye umri wa miaka minne ( jina
linahifadhiwa) aliyekuwa amefungiwa ndani ya chumba kwa kipindi cha muda
wa miaka minne na kukaa ndani ya boksi kwenye nyumba iliyopo Mtaa wa
Azimio, Kata ya Kiwanja cha Ndege, Manispaa ya Morogoro, ( wapili kushoto)
ni mama mlezi Mariam Said ( kati kati),ni baba mzazi wa mtoto huyo, Rashid
Mvungi na ( kulia) ni baba mlezi wa mtoto , Mtonga Omary, hapawalikuwa wakitoa
maelezo mbele ya Ofisa Ustawi wa Jamii Mkoa wa Morogoro,
Oswin Ngungamtitu ( hayupo pichani).
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

