Habari Kali
Loading...

Huu ni mwaka wa Ronaldo – kingine alichomfunika Messi hiki hapa

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
ronaldo-vs-messi-portugal-argentina-national-team-captainsCristiano Ronaldo ameendelea kumfunika mpinzani wake Lionel Messi, baada ya kumshinda kwenye uchezaji bora wa dunia, ufungaji bora wa La Liga na Champions League, na utajiri, sasa kwa mujibu wa taasisi ya uchunguzi na uchambuzi wa masoko ya Repucom umemtaja mshambuliaji huyo wa Real Madrid kuwa ndio staa wa soka mwenye thamani kubwa kwenye masuala ya kibiashara.
Kwa mujibu wa Repucom ndio mwanasoka mwenye mvuto mkubwa wa kibiashara kwa makampuni makubwa duniani kutokana ufuasi mkubwa wa mashabiki alionao kupitia mitandao ya kijamii.
Ronaldo ana likes millioni 82 kwenye mtandao wa Facebook, wakati anayemfuatia Messi ana likes millioni 57, kwenye twitter Ronaldo tena ameongoza kwa kuwa na wafuasi millioni 26.
Utafiti pia umeonyesha Ronaldo anatambulika zaidi duniani kuliko wachezaji wenzie, akipata asilimia 87% ya watu waliofanyiwa utafiti huo.
Wachezaji wengine waliongia kwenye listi hiyo ya wachezaji wenye mvuto mkubwa wa kibiashara kulingana na umaarufu ni Cristiano Ronaldo, Lionel Messi, Gerard Pique, Fernando Torres, Wayne Rooney – hawa ndio waliounda Top 5.
LISTI KAMILI IPO HIVI
article-2641168-1E426A4D00000578-334_634x478-1

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top