Habari Kali
Loading...

HII NDIO NYUMBA YA MTITU ILIYOTUMIA MIL 178 KUTENGENEZWA

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== > Mkongwe kwenye sanaa ya uigizaji Bongo, William Mtitu ameteteketeza shilingi Mil. 178 katika mjengo wake mpya uliopo Kigogo jijini Dar.

Mjengo wa mkongwe kwenye sanaa ya uigizaji Bongo, William Mtitu unaosadikika kughalimu zaidi ya shilingi milion 178
Chanzo kilicho karibu na staa huyo kimepenyeza data kuwa, licha ya mjengo huo kutokamilika kabisa lakini hadi sasa, milioni 45 zimetumika kununua kiwanja, 38 kununua samani za ndani na ujenzi ni Sh. Mil. 85.
Alipotafutwa Mtitu azungumzie mjengo wake huo, alisema hana cha kuongea kila kitu kinajionesha.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top