Watu
wawili ambao hawajafahamika majina yao (20-25) wamefariki dunia kwa
kupigwa na kisha kuchomwa moto katika kitongoji cha Iboja kijiji cha
Mwime kata ya mwendakulima wilayani Kahama mkoani shinyanga.
Tukio
hilo limetokea leo majira ya saa nne asubuhi ambapo inadaiwa kuwa
vijana hao wanatuhumiwa kwa kuiba Televisheni ya Mwananchi mmoja wa
kijiji hicho.
Mmoja
wa Mashuhuda wa eneo hilo amesema aliona moshi baada ya kufika Shambani
kwake ambapo aliamua kwenda kuangalia na kukuta miili ya watu hao
ikiteketea kwa moto.
Amesema aliujulisha uongozi wa kitongoji cha Iboja lakini haukufika na ndipo akatoa taarifa kwa jeshi la polisi wilaya ya Kahama, ambao wamefika katika eneo hilo na kuamuru uongozi wa kijiji cha Mwime kuzika miili hiyo.
Naye kaimu Afisa mtendaji wa kijiji hicho Paskal Lugembe amesema tayari wameanza juhudi za kuwakusanya wananchi ili washiriki katika shughuli ya kuwazika marehemu hao
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

