Habari Kali
Loading...

Gabo apata ajali mbaya ya gari….!!

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
MWIGIZAJI wa Bongo Movies, Salim Ahmed ‘Gabo’ amepata ajali mbaya ya gari maeneo ya Kiwalani jijini Dar.Kwa mujibu wa chanzo makini, Gabo aliyekuwa katika gari binafsi, aligongana na gari lingine na kupata jeraha mguuni hivyo kulazimika kulazwa kwa takriban wiki tatu kisha kuruhisiwa mwishoni mwa wiki iliyopita.
gabo 
Mwigizaji wa Bongo Movies, Salim Ahmed ‘Gabo’
Akizungumza na paparazi wetu baada ya kutoka hospitali, Gabo aliyeitendea haki Sinema ya Majanga ya Mahsein Awadh ‘Dk Cheni’, alieleza mazingira ya ajali.
“Nilikuwa naendeshwa na rafiki yangu lakini ghafla tukagongana uso kwa uso na gari lingine, nashukuru magari hayakuumia sana lakini mimi nililazwa  kwa wiki tatu kutokana na jeraha nililolipata mguuni,” alisema Gabo.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top