Habari Kali
Loading...

Baby Madaha aanza kurekodi video yake ya kumponda msanii mwenzake…

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== > MSANII wa muziki na filamu Bongo, Baby Madaha jana alinaswa na kamera zetu akiwa ‘location’ akijipodoa bila kuogopa wala kujali watu waliokuwa eneo hilo.
Madaha alinaswa maeneo ya Sinza jijini Dar alipokuwa akirekodi video ya wimbo wake wa Nawaponda aliomuimba msanii mwenzake aliyewahi kuwa na bifu naye.
baby maBaby Madaha akijipodoa tayari kurekodi video ya wimbo wake wa Nawaponda.
babymadMeneja wa Baby Madaha, Joe Kariuki (kulia) akijadiliana jambo na muongozaji wa video hiyo.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top