Maneno
yalikuwa yanasemwa mtaani na baadae ikajulikana kuwa ni kweli Kajala na
Wema hivi sasa wapo katika ugomvi mkubwa tu, jambo ambalo Kajala
mwenyewe alifunguka kuwa, Ndio tunaugomvi kama walivyo marafiki wa
kawaida kugombana, ila muda ukifika tutayamaliza”, hiyo ndio kauli ya
kajala toka akiri kuwepo kwa ugomvi huo, huku kwa upande wa Wema mambo
yako hivi;

“Thank you ma love for zawadi… hapa meno sasa kuoza ni lazima… I loooove looooove loooooove you… Raha ya kusafiri zawadi… God bless u ma love…@auntyezekiel@auntyezekiel@auntyezekiel@auntyezekiel@ Sasa basi najua nina deni la pictures… Hapa nafanya kazi ya kuzikusanya zooooote… Kesho mtachoka nyie… Maana ni tokea Mtwaraa si mnakumbuka…. Mi nawapenda sana…”aliyatumia Wema Sepetu maneno hayo kupitia uwanja wake wa kujidai wa instagram.

Wakati kajala akiwa bado amem-miss Best yake Wema Sepetu na kusubiri kwa hamu siku ile ifike waweze kusuluhisha tofauti zao, huku nyuma ushosti wa Wema na Mwigizaji mwenzie maarufu kama AutyEzekiel ndio kwanza unapamba moto, ukiwa una ambatana na kutumiana zawadi kama hizo hapo, ushostito wao huo umezidi kufana baada ya bifu hilo kati ya Wema na Kajala.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >