Habari Kali
Loading...

BAADA YA MSALA WA KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA KWA MKEWE:MUME WA JACK PATRICK AMNASA MISS TANZANIA 2011 "SALHA ISRAEL"

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >
Mume wa Jack Patrick akiwa na Salha Israel.
 **********
Mume (bado talaka) wa mwanamitindo maarufu Bongo ambaye kwa sasa yuko korokoroni Macau nchini China kwa msala wa kukamatwa na unga, Jacqueline Fitzpatrick Cliff, Abdulatif Fundikira ‘Tifu’ anadaiwa kumnasa kimahaba Miss Tanzania 2011, Salha Israel.
Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa Tifu, wawili hao hivi sasa wako kwenye ‘mahaba niue’ na wote wawili wako tayari kufunga ndoa kwani wazazi wa pande zote wamebariki ndoa hiyo.
“Salha sasa hivi humwambii kitu kwa Tifu na kila mmoja yuko tayari kwa ajili ya kufunga ndoa na mwenzake. Lakini sisi kama marafiki wa karibu tunaona ni jambo la heri,” kilisema chanzo hicho
Mwanamitindo Jack Patrick na mumewe wakati wa harusi yao
Mpashaji huyo alizidi kuweka wazi kuwa huko nyuma Tifu alikuwa hana imani kabisa na wanawake tena baada ya kuingia kwenye mgogoro mzito na aliyekuwa mke wake, Jack Patric, kiasi ambacho alisema hawezi kuoa tena.
Rafiki huyo alisema kuwa baada ya Tifu kukutana na Salha aliona ndiye anaweza kuwa mke bora (wife material) na kuamini kuwa hawezi kumtenda kama alivyofanyiwa huko nyuma.
Baada ya kupata taarifa hizo, mwandishi alimtafuta Tiff ili kupata ukweli wa madai hayo ambapo bila kukanusha alisema kuwa ni mapema kulizungumzia hilo kama yatakuwa tayari ataweka wazi.
“Kwa kweli hilo jambo ni mapema mno kulizungumza kwa hivi sasa lakini mambo yakikuwa tayari nitaweka wazi kila kitu,” alisema Tifu.
Kwa upande wake Salha Israel alipopatikana kwa njia ya simu  alifunguka: “Ni kweli namfahamu, ni mtu wa karibu lakini ni sawa na kaka yangu pia. Hayo mengine labda mumuulize yeye.”

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top