Habari Kali
Loading...

ALIYEVUJISHA VIDEO YA JAY Z AKIPIGWA NA SHEMEJI YAKE ATIMULIWA KAZI…!

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== > JAMAA aliyevujisha video ikionyesha staa Jay Z akipigwa na shemeji yake Solange ametimuliwa kazi.
Hoteli ya New York Standard  imeamua kusitisha mkataba wa jamaa huyo mara moja baada ya kuvunja sheria za usalama za hoteli hiyo kwa kuvujisha tukio nyeti kama hilo.
JAYZ
Solange (mbele kulia) baada ya kumpa kichapo shemeji yake Jay Z (wa tatu kushoto)
Jamaa huyo anadaiwa kuwauzia TMZ kipande hicho cha video kwa dola 250,000 sawa na shilingi 412,500,000 za Tanzania.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top