Habari Kali
Loading...

AIBU NZITO! MBOMGO FLEVA ANASWA NA DENTI WA SEKONDARI UFUKWENI..!!

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== > Aibu nzito! Msanii chipukizi wa Bongo Fleva, Venas John Bebu ‘Bebuz’ amenaswa laivu akivunja amri ya sita (kuzini) na mwanafunzi wa sekondari ufukweni.

Msanii chipukizi wa Bongo Fleva, Venas John Bebu ‘Bebuz’ afumwa akivunja amri ya sita ufukweni
Tukio hilo la aibu lilijiri wiki iliyopita mishale ya saa 8:00 usiku kwenye Ufukwe wa Coco, Dar ambapo polisi jamii walimnasa jamaa huyo aliyedaiwa ni swahiba mkubwa wa mwanamuziki, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’ ambao hivi karibuni walitoa kibao kipya kijulikanacho kwa jina la Bunyerobunyero.
Mara baada ya kunaswa, Bebuz alianzisha varangati kubwa lakini polisi jamii walimtuliza kwa virungu kisha kumfunga pingu na kumtaka atulize mzuka atoe ushirikiano vinginevyo angeumia.
Kijana huyo alitulia kwa muda lakini alipowaona OFM wakipiga picha, alilianzisha tena na kutaka kuvunja kamera huku akitamba kuwa alikuwa na uwezo huo.
Hata hivyo, OFM walikuwa makini kama kawaida yao.

Wakiwa chini ya ulinzi wa kachelo wa polisi
Ufukwe wa Coco umekuwa ukilalamikiwa kwamba hukutanisha watu wenye malengo mbalimbali lakini wanaokwenda kwa ajili ya kufanya ufuska usiku ni wengi hasa siku za wikiendi ambako kunakuwa na burudani ya disko.
Kikosi maalum cha kufichua maovu OFM (Opereshen Fichua Maovu) cha Global Publishers kilipiga kambi katika ufukwe huo kwa muda wa wiki moja na kushuhudia maovu yanavyofanyika.

Pia OFM ilibaini kuwa katika ufukwe huo kumekuwa kukifanyika vitendo ambavyo siyo vya kiustaharabu ambapo watu wamekuwa wakifanya ngono katika vichaka na kwenye maji.
Katika siku za hivi karibu, machangudoa wamekuwa wengi ufukweni hapo na baadhi yao ni vibaka ambao wamekuwa wakitoka nduki na nguo za wanaume huku wakisachi na kuchukua kila kitu.

BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out: BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA MOVIE MPYA ZA BONGO== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top