Habari Kali
Loading...

Picha 4 za ajali iliyotokea Tabata Dar na kuua watu asubuhi ya leo

Moja ya taarifa iliyosambaa katika mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari asubuhi ya leo march 9 2016, ni pamoja na hili tukio la ajali ya magari matatu ambayo ni gari la abiria aina...

Picha: Raisi Magufuli Amtembelea Maalim Seif katika Hoteli ya Serena kwa ajili ya kumjuilia hali yake.

Rais Magufuli akisalimiana naKatibu mkuu waCUF Maalim Seif Sharif Hamad   ndani  ya  Serena  Hoteli  alipoenda  kumjulia  hali  leo march 9 Rais Magufuli akisalimiana naKatibu mkuu waCUF Maalim...

Interview na Akothee, Mkenya mwingine aliyefanya kolabo na Diamond Platnumz

Akothee amekua msanii wa kwanza Kenya kufanya kolabo na mwimbaji Mtanzania Diamond Platnumz, ni Mwanamke mwenye historia ndefu ya maisha ya kuanzia kuwa Dereva Taxi Mombasa Kenya kabla hajaolewa na Mzungu na kwenda Ulaya kisha baadae akarudi...

Unaweza kuyatazama hapa matokeo yote ya kidato cha nne 2015/16

Baraza la mitiani Tanzania NECTA limetangaza Matokeo ya kidato cha nne mwaka 2015 , ambapo  ufaulu  unaelezwa kushuka  kwa 1.85%  toka  69.75%  mwaka...

Sentensi sita za NECTA kuhusu matokeo ya mitihani ya kidato cha nne 2015

February 18 baraza la mitihani Tanzania NECTA wametangaza matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2015 yafuatayo ni maneno matatu waliyosemwa na katibu mtendaji wa baraza la mitihani Tanzania...

Mrembo Jokate kwenye U Heard ya Soudy Brown, comments za instagram kaziona..?

Mrembo Jokate leo ndio aliyesikika kwenye U Heard ya Soudy Brown. Soudy anasema Jokate alipost video akijiachia kucheza mdundo wa remix ya ‘Zigo’ ya AY Feat. Diamond Platnumz alafu zikafatia...

Mambo matatu kutoka kwa Rais wa TFF leo, ruhusa ya Azam FC kwenda Zambia, Yanga kutofanya uchaguzi na msiba wa kiongozi …

January 28 Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF Jamal Malinzi alifanya mkutano na waandishi wa habari makao makuu ya shirikisho hilo na kutangaza msiba wa aliyekuwa mjumbe wa kamati...

Breaking News: CUF Wagoma Kushiriki Uchaguzi wa Marudio Zanzibar

Azimio La Baraza Kuu La Uongozi La Taifa Kuhusu Tangazo La Mwenyekiti Wa Tume Ya Uchaguzi Ya Zanzibar La Kuitisha Uchaguzi Wa Marudio Zanzibar Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la THE CIVIC UNITED FRONT (CUF – Chama Cha Wananchi), likiwa ndiyo...

Siasa Majibu yamenifikia kutoka ndani ya kikao cha Uchaguzi wa Meya wa Kinondoni Dar..

Vichwa vya habari mfululizo vilisukuma habari Magazetini kuhusu ishu ya kukwama kwa uchaguzi wa Mameya wa Manispaa ya Ilala na Kinondoni Dar es Salaam… uchaguzi huo kwa mara ya kwanza uliahirishwa...

Unaweza kuyatazama matokeo yote ya kidato cha pili 2015/16

Tayari Serikali kupitia Baraza la mitiani NECTA imetangaza Matokeo ya kidato cha pili mwaka 2015  324,068 sawa na 89% kati ya wanafunzi 363,666 waliofanya mtihani wamefaulu kuendelea...

Unakumbuka ile mishemishe mapokezi ya Mbwana Samatta baada ya ushindi wa Afrika? (+Video)

Staa wa soka kutoka Mbagala Dar es Salaam, Mbwana Samatta ameteka vichwa vya habari kila kona Tanzania na nje ya mipaka baada ya kutangazwa kuwa mchezaji bora wa soka Afrika kwa mwaka 2015. Ushindi huo aliupata Nigeria, akatua na...

Kama ni mpenda soka, zisikupite mechi hizi kali za weekend hii …

Baada ya kusimama kwa Ligi Kuu soka Tanzania bara kwa zaidi ya siku 10, weekend ya January 16 na 17 inaendelea kama kawaida kwa michezo nane kupigwa, lakini hii sio michezo pekee itakayopigwa...
Older Posts
© Copyright 2025 DONDOO ZA HABARI | Designed By Code Nirvana
Back To Top